Hersi aichangia Zalan Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jan 2025
Hersi aichangia Zalan Fc

Uongozi wa klabu ya Zalan FC kutoka Rumbek 'The Kazuk warriors' umemshukuru Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vilabu Afrika (ACA) kwa kuchangia vifaa vya michezo kwa timu hiyo

Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo, imebainisha kuwa Hersi amechangia viatu vya wachezaji, mipira, jezi za mazoezi, za mechi za nyumbani na ugenini na mipira

"Msaada huu umekuja katika wakati mwafaka kwetu wakati tukijiandaa na raundi ya pili ya Ligi hapa Rumbek"

"Sio mara ya kwanza Zalan kukutana na Yanga kwani 2021 tulikutana kwenye mtoano wa raundi ya awali na tulipoteza michezo yote miwili na wao kusonga mbele kwa ushawishi kwenye michuano ya CAF"

"Tunamshukuru Mr. Hersi kwa mchango wake kwetu na klabu itaendelea kuongeza mashirikiano na wadau mbali mbali wa ndani na nje ya nchi na tuna furaha kubwa kwa kesho yetu," ilisema taarifa ya Zalan Fc

Hersi yuko Sudan Kusini kuhudhuria MKUTANO MKUU WA KAWAIDA WA CECAFA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’