Yanga tayari kwa 'vita' ya kutetea ubingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jan 2025
Yanga tayari kwa 'vita' ya kutetea ubingwa

Baada ya kufuzu hatua ya 32 bora kombe la Shirikisho la CRDB, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya Kagera Sugar

Jumamosi Februari 1, Yanga itashuka dimba la KMC Complex kuikabili Kagera Sugar katika mechi ya kwanza ya duru ya pili kwa Yanga ambayo ni raundi ya 16

Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic ameweka wazi kuwa mataji mawili ambayo Yanga inayashikilia, hayapaswi kuondoka Jangwani

Yanga ni mabingwa watetezi wa mataji ya Ligi Kuu na FA kwa misimu mitatu mfululizo, mkakati ni kutwaa mataji hayo kwa mara ya nne

Yanga ikiwa imeondoshwa katika michuano ya ligi ya mabingwa, hakuna kingine ambacho wachezaji wanafikiria zaidi ya kutetea mataji hayo

Kazi inaanza rasmi Jumamosi, dimba la KMC Complex Yanga ikikabiliwa na mechi ngumu dhidi ya Kagera Sugar

Katika mechi za duru ya pili Yanga haipaswi kufanya makosa, vita ya ubingwa kati yake na watani zao Simba itakuwa kubwa

Ukifanya tathmini ya ushindani uliojitokeza katika duru ya kwanza, utaona ni kwa kiasi gani duru ya pili umakini utahitajika zaidi

Ramovic amepata muda wa kutosha kukiandaa kikosi chake kwa ajili ya 'vita' hiyo ya duru ya pili

Yanga inahitaji KUSHINDA kila mechi ili kuwa na uhakika wa kutetea ubingwa wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’