Jumamosi Februari 1 katika uwanja wa KMC Complex, Yanga itakuwa mwenyeji wa Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC, raundi ya 16
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni
VIP A ni Tsh 20,000/- na Mzunguuko ni Tsh 10,000/-
ADVERTISE HERE