Mzize anakitaka kiatu msimu huu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Feb 2025
Mzize anakitaka kiatu msimu huu

Bao alilofunga Clement Mzize katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar jana, limemfanya afikishe mabao 7 sasa akiwa nyuma ya kinara wa mabao Elvis Rupiia kwa tofauti ya bao 1 tu

Mzize amefikia rekodi yake ya mabao 7 ya msimu uliopita, bila shaka msimu huu anakwenda kuweka rekodi mpya

Aidha Pacome Zouzoua nae amefikisha mabao 6 idadi ya mabao ambayo alifunga msmu uliopita

Katika orodha ya wafungaji mabao Yanga, Pacome anashika nafasi ya pili nyuma ya Mzize huku Prince Dube akishika nafasi ya tatu akiwa na mabao 5

Ibrahim Bacca amefunga mabao manne huku Maxi Nzengeli na Kennedy Musonda kila mmoja akifunga mabao matatu

Mudathir Yahya na Stephane Aziz Ki kila mmoja amefunga mabao mawili huku Chama akiwa amefunga bao 1

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’