Mwenyekiti wa kamati ya mashindano na Usajili Hussein Nyika amesema kulingana na kanuni mpya za CAF, Yanga inaweza kusajili hadi wachezaji watatu kukiongeza nguvu kikosi chake kinachoshiriki hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika.
Akizungumza katika kipindi cha Yanga TV kinachorushwa na runinga ya Azam kila Ijumaa kuanzia saa moja kamili jioni, Nyika amesema wanasubiri mapendekezo ya kocha mpya Mwinyi Zahera.
Nyika amesema mchakato huo uliingia dosari baada ya kuondoka kocha George Lwandamina hivyo wamempa muda kocha Zahera aweze kukiangalia kikosi kabla ya kupendekeza wachezaji anaohitaji waongezwe.
Yanga iko nchini Algeria kesho Jumapili ikitarajiwa kucheza na USM Alger.

ADVERTISE HERE