Unaweza kusema gari la Yanga Princess limewaka ikiendeleza ubabe katika ligi kuu ya Wanawake baada ya ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Mashujaa Queens
Huo ni ushindi wa nne mfululizo kwa kikosi cha Princess kinachonolewa na makocha Edna Lema na Said Maulid 'SMG'
Yanga Princess imefikisha alama 21 na kuendelea kujiimarisha katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi
ADVERTISE HERE