Klabu ya Singida BS imeeleza 'kushtushwa' na taarifa za aliyekuwa kocha wao Miloud Hamdi kujiunga na Yanga
Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo mapema leo, imedai Yanga wamemuajiri Hamdi pasipo kufuata utaratibu

Za ndaani kabisa, imeelezwa ni kuwa Singida BS walikuwa bado hawajamkamilishia Kocha huyo baadhi ya mahitaji yake muhimu na hivyo kavunja mkataba
Sakata lake linataka kulingana na lile la Kocha Abdulhamid Moallin wakati anatoka KMC kutua Yanga kuwa Mkurugenzi wa ufundi
KMC walidai Yanga walimtambulisha Moallin bila ya kufuata utaratibu mwisho wa siku Moallin ni Mwananchi..!
Hamdi ni Kocha wa viwango vya Kimataifa ambaye anastahili kuifundisha timu kubwa kama Yanga
ADVERTISE HERE