Aziz Ki bado hakamatiki katika pasi za mabao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Feb 2025
Aziz Ki bado hakamatiki katika pasi za mabao

Katika msimu ambao anaoneka kucheza chini ya kiwango, Stephane Aziz Ki ameendelea kuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Yanga akihusika katika upatikanaji mabao

Kilichopungua msimu huu ni mabao ya kufunga tu, lakini kasi yake ya kutoa pasi za mabao huenda akavunja rekodi yake ya msimu uliopita ya asisti nane 

Msimu huu Ki amehusika katika mabao 8 akifunga mawili na kutoa assist 6 akiendelea kumkaribia kiungo mshambuliaji wa Azam Fc Feisal Salum aliyetoa assist 9

Mburkinabe huyo anahitaji angalau asisti 3 katika mechi 13 zilizobaki ili avunje rekodi yake ya msimu uliopita

Pacome Zouzoua na Prince Dube pia wametua assist nne kila mmoja na kuhusika katika mabao 11

Clement Mzize ambaye ndiye kinara wa ufungaji akiwa na mabao 9, ametoa assist 3 kama ilivyo kwa Chadrack Boka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’