Ligi ndio inaanza sasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Feb 2025
Ligi ndio inaanza sasa

Yanga sasa imekaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC baada ya watani zao Simba kuvutwa shati huko Manyara kwa matokeo ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Fountain Gate

Yanga iko kileleni ikiwa na alama 45 baada ya kucheza mechi 17 wakati Simba ikishuka nafasi ya pili ikiwa na alama 44 baada kucheza mechi 17

Kwa Wananchi ligi ndio kama inaanza sasa kwani kazi iliyobaki ni kuhakikisha hakuna kushuka nafasi ya kwanza hadi mwisho!

Mchezo unaofuata ni dhidi ya JKT Tanzania utapigwa Februari 10 katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
49m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’