Falsafa ya Hamdi ni kushambulia mwanzo mwisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2025
Falsafa ya Hamdi ni kushambulia mwanzo mwisho

Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi anakiandaa kikosi chake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa Jumatatu, Februari 10

Katika mahojiano maalum na Yanga Media, Hamdi aliweka wazi kuwa yeye ni muumini wa soka la kushambulia na kufunga mabao mengi

Amesema kwake yeye ni bora ashinda 5-4, 4-3 au matokeo mengine yanayohusha mabao kuliko kutoka 0-0

Kocha huyo mwenye uraia pacha wa nchi za Algeria na Ufaransa amesema anaifahamu Yanga kwa muda mrefu kutokana na ushiriki katika mashindano ya CAF hivyo anaamini ametua katika timu sahihi yenye malengo ya makubwa

"Naifahamu Yanga kwakuwa mara nyingi wanacheza Ligi ya Mabingwa Afrika na pia wameshinda makombe mengi. Unafahamu mimi ni kocha niliyefundisha sana michuano ya Afrika hivyo nimeiona sana Yanga kwenye michuano ya Klabu bingwa"

"Falsafa yangu ni soka la kushambulia tu, baadhi ya watu wanahisi nina kichaa kwa sababu napenda muda wote kwenda kushambulia, mpira ni kufunga sio kuzuia"

"Niko tayari timu yangu ishinde 4-3, 5-4.. kwangu ni bora koliko kusare 0-0 au 1-1," alisema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’