Tutapambana hadi mwisho - Hamdi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Feb 2025
Tutapambana hadi mwisho - Hamdi

Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amesema watapambana hadi mechi ya mwisho kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa msimu wa nne mfululizo

Baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya JKT Tanzania juzi, kikosi cha Yanga leo kinarejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya KMC ambao utapigwa Ijumaa

Hamdi amesema jukumu lake lililomleta Yanga ni kushinda makombe hivyo ana wajibu wa kuwaongoza mabingwa hao watetezi NBC PL kutetea mataji yao wanayoyashikilia kwa misimu mitatu mfululizo

"Bado tuna mechi nyingi za kucheza msimu huu, lakini nisema tu kama timu tuko tayari kupambana ili kushinda ubingwa"

"Tutafanya kila lililondani ya uwezo wetu ili kutetea ubingwa, tutambana kila mechi kutimiza malengo yetu"

"Tuna mashabiki wa kipekee ambao muda wote wanatusukuma kupata matokeo mazuri, hili ni jambo jema na tunawaomba waendelee kutuunga mkono katika mechi hizi zilizobaki"

"Ahadi yetu kwao ni kuendelea kupambana kwa ajili ya kuwapa furaha," alisema Hamdi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’