Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson jana alikimbizwa hospitalini baada ya kuughua ghafla ugonjwa uliosababisha madhara katika ubongo wake.
Kocha huyo mwenye heshima ya kipekee alifanyiwa upasuaji na ameendelea kubaki katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum 'ICU'.
Salamu za kumtakia afya njema zimetumwa kwake kutoka kila pembe ya dunia.
Ferguson bado anapigania maisha yake nasi tunamuombea kheri, Mwenye ez Mungu amponye maradhi yake ili aweze kurejea katika majukumu yake ya kila siku

ADVERTISE HERE