Mzize amebeba tuzo leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2025
Mzize amebeba tuzo leo

Sasa vita ya kuwania ufungaji bora wa ligi kuu msimu huu inaongozwa na washambuliaji wa Yanga Clement Mzize na Prince Dube

Nyota hao leo wamefunga mabao ya Yanga yaliyowahakikishia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars na kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi

Mzize aliyebeba tuzo ya nyota wa mchezo leo, anaongoza vita hiyo akifikisha mabao 10 huku Dube akisogea karibu baada ya kufikisha mabao 9

Dube ameendelea kuwa mchezaji aliyehusika katika mabao mengi zaidi msimu huu kwenye ligi (16) akifunga 9 na kutoa assist 7

Aidha Yanga imefikisha mabao 50 ya kufunga huku ikiruhusu mabao 9. Ndio timu iliyofunga mabao mengi zaidi msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’