Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kitendo cha mchezo wao dhidi ya USM Alger kuchezwa nyakati za usiku ni faida kwa timu yake.
Mechi hiyo ya kwanza kwa Yanga kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika itachezwa kwenye Uwanja wa Julai 5 jijini Algiers.
Zahera alisema mechi inapochezwa usiku inakuwa na faida kubwa kiufundi kulinganisha na mchana au jioni.
Alizitaja faida hizo kuwa ni wachezaji kutochoka haraka pamoja na mfumo mzuri wa upumuaji.
Kuhusu hali ya hewa ya baridi, Zahera alisema hana hofu nayo na hawezi kuifanya kama kisingizio.
Mwanaspoti

ADVERTISE HERE