Kazi nzuri Zouzoua

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Feb 2025
Kazi nzuri Zouzoua

Leo Pacome Zouzoua amewakumbusha Wananchi ubora wake akiisaidia Yanga kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mashujaa Fc mkoani Kigoma

Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi alimtumia Pacome kimkakati kuifungua ngome ya Mashujaa ambao kabla ya kuruhusu bao walipaki basi

Pasi zake mbili za mabao kwa Khalid Aucho na Prince Dube zilizima matumaini ya Mashujaa kurejea katika mchezo huo na kujikuta wanaruhusu mabao zaidi

Huyu ndio Pacome ambaye mashabiki wa Yanga wanamfahamu baada ya kufanya mambo makubwa msimu uliopita

Leo amestahili kubeba tuzo ya nyota wa mchezo baada ya kazi nzuri...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’