Chama 'anawazoom' Pamba Jiji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Feb 2025
Chama 'anawazoom' Pamba Jiji

Baada ya kuonyesha kiwango bora katika mchezo uliopita dhidi ya Mashujaa Fc, kocha mkuu wa Yanga Miloud Hamdi huenda leo akamuanzisha kiungo Clatous Chama katika mchezo dhidi ya Pamba Jiji

Mabao mawili aliyofunga katika mchezo dhidi ya Mashujaa Fc yamemuongeza 'mzuka' Chama ambaye msimu huu amefunga mabao matatu licha ya kutopata nafasi ya kuanza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza

Mbali na Chama, kocha Hamdi anakwenda kuikabili Pamba akiwa na kikosi chake kamili akizihitaji alama zote tatu

Khalid Aucho, Diarra, Stephane Aziz Ki, Pacome Zouzoua, Prince Dube, Clement Mzize, Bacca, Job, Maxi na mastaa wengine wote wako tayari kwa mtanange huo utakaopigwa saa 10 jioni

Yanga inazihitaji alama zote tatu leo ili kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi na pengine kusafisha njia kuelekea ubingwa wa 31

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
28m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’