Mapema leo uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation, walitembelea hospitali ya rufaa ya kanda Bugando, iliyopo Mwanza mjini kuwajulia hali wagonjwa na kuwapatia mahitaji mbalimbali

ADVERTISE HERE