Nyota mbalimbali wa klabu ya Yanga wametuma jumbe za kumtakia kheri ya kuzaliwa Waziri wa Madini Mh Anthony Mavunde ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini
Stephane Aziz, Khalid Aucho na Djigui Diarra ni miongoni mwa wachezaji walioandika jumbe katka kurasa zao za mitandao ya kijamii
Ki na Aucho wametoa ahadi zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa ataipata March 8 pale uwanja wa Benjamin Mkapa
March 08 Wananchi watakuwa na jambo lao pale uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba
Bila shaka zawadi ambayo wamemuahidi Mh Waziri ni ushindi dhidi ya Simba!
HAPPY BIRTHDAY MWANANCHI MAVUNDE...!
ADVERTISE HERE