Jumamosi March 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga itakuwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Mapema tu, Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 1:15 usiku
Tayari tiketi za VIP A zimemalizika Wananchi wakiaswa kununua tiketi mapema ili kuhakikisha wanakuwa wengi kuliko watani zao katika mchezo huo
ADVERTISE HERE