Yanga, GSM, CCBRT kushirikiana kutibu watoto wenye mguu kifundo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Mar 2025
Yanga, GSM, CCBRT kushirikiana kutibu watoto wenye mguu kifundo

Taasisi ya GSM kwa kushirikiana na Yanga , wameungana na Hospitali ya CCBRT wakiingia makubaliano maalumu ya kutibu watoto 400 ambao wamezaliwa na changamoto ya miguu kifundo inayowapelekea kushindwa kutembea

Akizungumza katika hafla ya kusainiwa makubaliano hayo jijini Dar es salaam mapema leo, Mkurugenzi wa GSM Foundation, Faith Gugu alisema mazungumzo juu ya ushirikiano huo yalianza mwaka jana

"Sisi kama GSM Foundation tunapenda kuwashukuru wadau wetu wakubwa CCBRT kwani tumekuwa na mahusiano mazuri sana"

"Tumeanza mazungumzo tokea mwaka jana ambapo walileta maombi kwetu kuchangia gharama za matibabu ya watoto wenye mguu kifundo"

"Hivyo kwa kushirikiana na Yanga tukaamua kuchangisha fedha" alisema Gugu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’