Yanga Princess imetinga fainali ya michuano ya Samia Super Cup inayofanyika jijini Arusha baada ya ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Fountain Gate Princess
Michuano hiyo ni maalum kuadhimisha siku ya Wanawake duniani ambayo kilele chake ni March 08, siku ambayo mchezo wa fainali utapigwa
Yanga Princess itacheza fainali na mshindi wa mchezo kati ya Simba Queens dhidi ya JKT Queens
Unaweza kusema kwa sasa Yanga Princess 'imejipata' japo nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya wanawake msimu huu ni finyu
Bila shaka kikosi hiki kitakwenda kuleta ushindani mkubwa msimu ujao
ADVERTISE HERE