Hongera Yanga Princess kwa kutwaa Samia Women Super Cup 2025

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Mar 2025
Hongera Yanga Princess kwa kutwaa Samia Women Super Cup 2025

Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Queens umeihakikishia Yanga Princess kutwaa taji la Samia Women Super Cup 2025

Ni katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa Agha Khan Arusha jioni ya leo

Ushindi huo unadhihirisha ni kwa kiasi gani Yanga Princess sasa imeiva na iko tayari kwa ushindani

Katika michuano hiyo ya kuadhimisha siku ya Wanawake iliyozikutanisha timu nne zinazoshika nafasi za juu ligi kuu ya Wanawake, Yanga Princess imepachika mabao 10 katika mechi mbili

Iliichapa Fountain Gate Princess mabao 7-0 katika mchezo wa nusu fainali huku JKT Queens wao wakiiondosha Simba Queens kwa ushindi wa bao 1-0

Licha ya ubora wa kikosi cha JKT Queens, maafande hao walikubali 'kichapo cha kizalendo' kutoka kwa Yanga Princess

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’