Mapema leo, uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation umekabidhi mahitaji ya Iftar na vifaa vya michezo katika Gereza la Ukonga jijini Dar Es Salaam
Ni sehemu ya utaratibu wa kurejesha kwa jamii kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba
ADVERTISE HERE