Uongozi wa Yanga umetoa taarifa kuwa hakuna mabadiliko yoyote ya ratiba ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao umepangwa kupigwa leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga imesisitiza kupeleka timu uwanjani tayari kwa mchezo huo uliopangwa kupigwa saa 1:15 usiku
Aidha Yanga imebainisha kuwa haitakuwa tayari kucheza mechi hii siku nyingine kwani wanaamini taratibu zote kuelekea mchezo huo zimefuatwa kwa mujibu wa kanuni
ADVERTISE HERE