Vijana wa Yanga kuivaa Prisons Jumamosi

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
29 Jul 2017
Vijana wa Yanga kuivaa Prisons Jumamosi
Jumamosi, Julai 29, 2017 vijana wa Yanga watashuka dimbani mkoani Mbeya kuumana na kaka zao Tanzania Prisons katika mchezo wa fainali katika michuano ya hisani maalumu kwa ajili ya kuchangia mfuko wa udhamini wa ukimwi.

Yanga B ilitinga fainali baada ya kuilaza Mbeya City mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa jana Alhamisi.

Leo watani zao Simba wameondoshwa katika michuano hiyo na Tanzania Prisons kwa matuta 8 -7 kufuatia sare ya 1 - 1 katika dakika 90.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’