Jana klabu ya Yanga ilifanya tukio la aina yake wakiandaa Iftar Gala maalum na kuwaalika wadau mbalimbali wa soka nchini
Ni katika mwendelezo wa kudumisha ushirikiano baina ya Yanga na wadau wote wa mpira wa miguu nchini







ADVERTISE HERE