Misimu mitatu ya ubabe wa Aziz Ki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Mar 2025
Misimu mitatu ya ubabe wa Aziz Ki

Ukiangalia takwimu za misimu mitatu iliyopita, kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki ndie mchezaji aliyehusika katika mabao mengi katika kikosi cha Yanga

Katika mechi 102 alizoitumikia Yanga kwenye mashindano yote tangu alipotua kwa Wananchi 2022/23, Aziz Ki amehusika katika mabao 69 akifunga mabao 48 na kutoa pasi 21 za mabao

Hizi ni takwimu za juu sana kwa mchezaji anayecheza nafasi yake ya kiungo mshambuliaji

Mwamba huyo kutoka Burkina Faso anahitaji kufunga mabao mawili ili kufikisha idadi ya nusu karne ya mabao yaani mabao 50!

Pacome Zouzoua ndiye mchezaji anayefuatia kwa kuhusika kwenye mabao mengi ndani ya misimu miwili akifunga mabao 18 na kutoa assist 15 hivyo kuhusika katika jumla ya mabao 33

Huku Maxi Nzengeli akiwa hayuko mbali pia akihusika katika mabao 29, akifunga mabao 21 na kutoa assist 08

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’