Yanga inarejea leo kutoka Algeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 May 2018
Yanga inarejea leo kutoka Algeria
Kikosi cha Yanga kinatarajia kurejea leo Jumanne mchana kutoka nchini Algeria kushiriki mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi kombe la shirikisho Barani Afrika.

Yanga imerejea mapema ili kuwahi ratiba ya michezo ya ligi kuu ya Vodacom

Yanga inakabiliwa na mchezo dhidi ya Prisons keshokutwa Alhamisi, May 10 kisha Jumapili May 13 itakuwa mkoani Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar

Yanga italazimika kutumia usafiri wa Ndege kwenda mkoani Mbeya kesho.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’