Yanga kurejea mazoezini Jumatano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Mar 2025
Yanga kurejea mazoezini Jumatano

Jumatatu ijayo, March 24 2025 klabu ya Singida Black Stars inatarajiwa kuzindua uwanja wake mpya huku ikiwaalika mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga katika uzinduzi huo

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema baada ya mapumziko ya takribani siku sita, kikosi cha Yanga kitarejea mazoezini Jumatano, kujiandaa na mchezo huo pamoja na mechi nyingine zinazofuata

"Baada ya mchezo wetu wa kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Coastal Union, uongozi ulitoa siku sita za mapumziko kwa wachezaji"

"Timu inatarajiwa kurejea mazoezini siku ya Jumatano kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Singida Black Stars na mechi za kuhitimisha msimu"

"Wachezaji wote ambao hawako katika majukumu ya timu za Taifa watarejea mazoezini chini ya benchi la ufundi linaloongozwa na kocha Miloud Hamdi," alisema

March 29 Yanga itacheza mechi ya hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Songea United na kisha kuivaa Tabora United katika mchezo wa ligi kuu April 1 uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’