Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kimempandisha cheo beki wa Yanga Ibrahim Hamad "Bacca" kutoka Koplo na kuwa Sajenti kutokana na kuonesha kiwango bora Uwanjani
Licha ya kuitumikia Yanga, Bacca bado ni muajiriwa wa KMKM
Hongera Bacca..!
ADVERTISE HERE