Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida Black Stars utakaopigwa Jumatatu, March 24 huko Singida
Yanga imealikwa katika uzinduzi wa uwanja wa Singida (Airtel Stadiums) hafla itakayohitimishwa na mchezo huo







ADVERTISE HERE