Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Singida ambako kesho Jumatatu, March 24 watashiriki tukio la uzinduzi wa uwanja wa Singida Black Stars kwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji wao







ADVERTISE HERE