Mvua yatibua mechi Singida BS vs Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Mar 2025
Mvua yatibua mechi Singida BS vs Yanga

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Singida imetibua mchezo wa kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga uliokuwa ukiendelea katika uwanja wa Airtel

Mwamuzi wa mchezo huo Saadi Mrope alilazimika kusimamisha mchezo huo baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha

Jonathan Ikangalombo aliitanguliza Yanga kwa bao safi mapema katika kipindi cha kwanza lakini mpira wa faulo uliopigwa na Mauruf Tchakei mapema katika kipindi cha pili ulisindikizwa kimiani na upepo na kuisawazishia Singida BS

Hata hivyo hakukuwa na nafasi kwa Mrope kuitisha mpira kati baada ya mvua na upepo mkali kuzidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’