Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga robo fainali kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Songea United
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa KMC Complex, saa 10 jioni





ADVERTISE HERE