Muda mchache ujao Yanga inashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Songea United katika mchezo wa hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho la CRDB
Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi ameanza na kikosi hiki. Nafasi ya Khomein ameingia Aboutwalib Mshery. Ni baada ya Khomein kuumia wakati wa warm-up kuelekea match

ADVERTISE HERE