Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam mapema leo kuelekea Tabora tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Tabora United
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano, April 02 katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi






ADVERTISE HERE