Pacome anazikusanya tu tuzo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Apr 2025
Pacome anazikusanya tu tuzo

Wakati Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United jana katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, ilikuwa ni siku nyingine kushuhudia shoo za profesa wa mpira Pacome Zouzoua

Zilikuwa dakika 90 bora kwa Pacome ambaye aliondoka na tuzo ya nyota wa mchezo huo ikiwa ni tuzo yake ya pili mfululizo

Pacome ndiye aliyetengeza mabao mawili yaliyofungwa na Prince Dube na Clement Mzize 

Pacome sasa ndiye kinara wa pasi za mabao katika kikosi cha Yanga akifikisha asisti 9, bado asisti tatu tu amfikie Feisal Salum wa Azam Fc anayeongoza na asisti 12

Amehusika katika mabao 16 kwani pia amepachika mabao saba

Kama ataendelea na kasi hii katika mechi 6 zilizosalia, haitakuwa ajabu akabeba tuzo ya MVP

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’