Jumatatu, April 07 2025 Yanga itaendelea na kampeni ya kutetea ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa msimu wa nne mfululizo pale itakapomenyana na Coastal Union katika mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex
Viingilio vya mchezo huo tayari vimetangazwa kama kawaida ambapo VIP A ni Tsh 20,000/- na Mzunguuko ni Tsh 10,000/-
Ni mechi yenye alama tatu muhimu kwa Yanga ili kuendelea kusogelea ubingwa wa 31

ADVERTISE HERE