Msimu huu mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra hakuanza vyema sana, majeraha yakimuweka nje katika mechi za mwanzoni mwa msimu
Lakini kwa sasa Diarra amerejea katika ubora wake anaendelea kuzikusanya 'cleansheet'
Jana aliongeza cleensheet ya 13 sasa akiwa nyuma ya Moussa Camara wa Simba kwa tofauti ya cleensheet mbili tu
Mechi tano zimesalia kumaliza msimu huu, taratibu Diarra anarejea katika nafasi yake...!

ADVERTISE HERE