Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika (ACA), Injinia Hersi Said amepewa tuzo na World Football Summit (WFS) katika hafla iliyofanyika jiji la Rabat, Morocco jana
Tuzo hiyo ni katika kuthamini mchango wake wa kuunganisha vilabu vya Soka Afrika
ADVERTISE HERE