Kikosi cha Yanga tayari kiko visiwani Zanzibar kushiriki ligi ya Muungano
Yanga imetua Zanzibar ikiwa na kikosi chake kamili, Wananchi wakipania kubeba taji hilo kwa mara ya saba
Baada ya kutua Unguja, kikosi kinaunganisha kwa ndege kuelekea Pemba












ADVERTISE HERE