CAS yaiachia TFF kuamua hatma ya Dabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 May 2025
CAS yaiachia TFF kuamua hatma ya Dabi

Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa Michezo (CAS) imelirudisha TFF shauri ya Yanga dhidi ya TPLB, Simba kwa ajili ya maamuzi

Kulingana na taarifa iliyotolewa na CAS mapema jana, Mahakama hiyo imeshindwa kusikiliza shauri hilo kwa kuwa bado halijaamuliwa na Mamlaka ya ndani (TFF)

Kufuatia uamuzi huo, Bodi ya ligi imetangaza kuendelea na mchakato wa maandalizi ya mechi za kuhitimisha msimu ikiwa ni pamoja na maboresho ya ratiba ikiwemo kuupangia tarehe mchezo namba 184 ambao ndio kiini cha mgogoro huo

Hatua inayofuata kwa Yanga sasa ni kuwasilisha madai yao kamati ya rufaa TFF ili kesi hiyo iamuliwe na kama hawataridhika bado wanaweza kurejea tena CAS

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’