Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina ameukubali sana uwezo wa mshambuliaji mpya Ibrahim Ajib na ili kumuongezea makali zaidi amekuwa akimpa mazoezi ya kipekee.
Fundi huyu wa mpira amekuwa akipigishwa mazoezi ya kumfanya awe mwepesi na mwenye maamuzi ya haraka.
Picha hapo juu ni moja ya matizi anayopewa Ajib na Mwalimu Lwandamina.

ADVERTISE HERE