Kesho Jumanne, May 13 Yanga itakuwa dimba la KMC Complex kuikabili Namungo Fc katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo utakaopigwa saa 10:15 jioni
Hivi hapa viingilio vya mchezo;
ADVERTISE HERE