Mwamuzi Ramadhan Kayoko atachezesha mchezo wa nusu fainali ya kombe la CRDB kati ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa leo katika uwanja wa Mkwakwani, Tanga
Kayoko atasaidiwa na waamuzi wasaidizi Mohammed Mkono na Hamis Chang'walo huku Tatu Malogo akiwa mwamuzi wa akiba
ADVERTISE HERE