Mtibwa Sugar yaikaribisha Yanga Moro, Mbeya City na Prisons Sokoine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2018
Mtibwa Sugar yaikaribisha Yanga Moro, Mbeya City na Prisons Sokoine
Ligi Kuu ya Vodacom inaendelea leo Jumapili kwa michezo miwili kupigwa mkoani Mbeya na Mkoani Morogoro.

Huko Mbeya kutakuwa na mchezo wa 'Derby' utakaozikutanisha Mbeya City dhidi ya Tanzania Prisons zote kutoka mkoani humo.

Mbeya City inahitaji kushinda mchezo huo ili kujihakikishia nafasi ya kubaki ligi kuu ya Vodacom msimu ujao.

Mabingwa wa msimu uliopita Yanga watakuwa mkoani Morogoro kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo ambao ni wa kukamilisha ratiba tu.

Yanga tayari imeutema ubingwa kwa wapinzani wao Simba na kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera ameweka kipaumbele kwenye michuano ya kombe la Shirikisho ambapo idadi kubwa ya wachezaji wa kikosi cha kwanza wamebaki jijini Dar es salaam wakiendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Rayon Sport utakaopigwa Jumatano ijayo, May 16.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’