Kiungo wa Yanga Khalid Aucho ni miongoni mwa wachezaji waliotajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Uganda anaecheza nje
Tuzo hizo ambazo zipo chini ya Shirikisho la soka Uganda FUFA zinatarajiwa kufanyika tarehe 30 Juni
Katika kinyang'anyiro hicho Aucho atachuana na;
- Bevis Mugabi – Anorthosis Famagusta (Cyprus)
- Elio Capradossi – SC Cittadella (Italy)
- Mukwala Steven – Simba SC (Tanzania)
- Rogers Mato – FK Vardar (North Macedonia)
Aucho anashikili tuzo hiyo akiitwaa msimu uliopita
ADVERTISE HERE