Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika leo Jumapili anatarajiwa kufunguka kuhusu zoezi la usajili wa klabu ya Yanga kwa ujumla.
Dirisha la usajili linatarajiwa kufungwa wiki ijayo hivyo huenda ataweka wazi wachezaji waliosajiliwa pia kufunguka juu ya wachezaji waliokamilisha usajili wikiendi hii.
Nyika aliahidi juzi kuwa Jumapili ataachia lile bomu la nyuklia ambalo amekuwa akilizungumzia kwa wiki kadhaa.
Je huyo jamaa pichani ameshasaini? Kila kitu kitawekwa wazi nae Nyika.

ADVERTISE HERE