Aucho asubiri mkataba Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2025
Aucho asubiri mkataba Yanga

Hadi sasa, kiungo Khalid Aucho bado hajasaini mkataba mpya na Yanga SC, na mazungumzo ya kuhuisha mkataba wake hayajaanza rasmi.

Aucho anatarajiwa kuwa mchezaji huru mwishoni mwa msimu huu, mkataba wake wa sasa utakapomalizika.

Baada ya kuitumikia Yanga kwa misimu minne, hatma yake itafahamika wazi mara tu msimu huu utakapofikia tamati.

Inaripotiwa kuwa Yanga ina mpango wa kufanya maboresho makubwa katika eneo la kiungo, ikiwa ni pamoja na kusajili kiungo mkabaji mpya mwenye umri mdogo zaidi

Tangu msimu uliopita, Aucho amekumbwa na majeraha ya mara kwa mara yaliyomfanya akose mechi muhimu, jambo linalozua maswali kuhusu nafasi yake ya muda mrefu ndani ya kikosi cha Wananchi

Lakini anapokuwa 'fit', Aucho amejipambanua kuwa mchezaji muhimu, taarifa za ndani zimedokeza kuwa Mganda huyo ameandaliwa ofa ya mwaka mmoja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’