Timu ya Taifa ya vijana umri chin ya miaka 20 Ngorongoro Heroes imejiweka kwenye nafasi ngumu ya kufuzu fainali ya AFCON 2019 U20 zitakazopigwa Niger baada ya kukubali kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa Mali kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa.
Ousmane Diakite na Samadiane Dianka ndiyo waliofunga mabao ya Mali wakati bao la Heroes lilifungwa na Peter Paul.
Ngorongoro Heroes inalazimika kushinda ugenini nchini Mali kwenye mchezo wa marudiano ili kuweza kufuzu kwa fainali za michuano hiyo.
Hata hivyo haitakuwa kazi rahisi kupata ushindi ugenini kutokana na uimara ulionyeshwa na kikosi cha Mali

ADVERTISE HERE